SafeOregon
  • KUHUSU
  • RASILIMALI
    • Rasilimali za Shule
    • Rasilimali za Wazazi
    • Rasilimali za Wanafunzi
    • Mabango na Vipeperushi
    • Rasilimali za Ziada
  • TUNAVYOENDELEA
    • Matokeo
  • SHIRIKI
    • Wanafunzi
    • Jamii
  • INGIA
  • WASILIANA NASI
TOA TAARIFA

TAARIFA ZINAWEZA KUTOLEWA KWA NJIA MBALIMBALI:

TOA TAARIFA MTANDAONI

TOA TAARIFA KWENYE PROGRAMU YETU

PIGA SIMU 844-472-3367

UJUMBE MFUPI 844-472-3367

BARUA PEPE
tip@safeoregon.com

KUMBUKA: Laini hii ya taarifa si ya kushughulikia dharura za papo hapo. Hali za dharura zinapaswa kila mara kupelekwa 9-1-1.

Taarifa zote huenda mara moja kwa fundi wa laini ya taarifa saa 24, siku 7, siku 365 za mwaka. Taarifa huchambuliwa haraka na kupelekwa kwa wafanyakazi walioteuliwa wanaoweza kutoa msaada zaidi katika kutatua matukio yaliyoripotiwa. Ni kinyume cha sheria kutumia SafeOregon vibaya. Taarifa za uongo au za mzaha zinaweza kuchunguzwa na polisi (ORS 165.570).

  • MAWASILIANO
  • KISHERIA
  • TAFSIRI
    • العربية
    • 中文
    • English
    • Русский
    • Español
    • Kiswahili
    • Tiếng Việt
Inaendeshwa na SPRIGEO